- Description
Lyrics
Verse 1 :
It our love’s birth day
Na bado sija fikiri Napo kwenda nawe
Mungu wa mapenzi ani samehe
Ikiwa ni dzambi mi kuwa nawe
Umesha ni fanya kipofu
Ni itaji uokovu
Moyoni uni poteye
Nataka ku juwa
( ntai pata dawa Ya mapenzi )
Mwenzio Niki uguwa
( Nta fanta je? )
Nakubali kupima ata wengi wame sema
Nta zidi ku penda ata wengi wana nuna bina damu hawa tosheki
Refrain :
Niko tayari ku panda mulima
( Kwajili yako )
Ntaimba kwa kila vina
( Sababu yako )